Wadau wa sekta binafsi kwa pamoja tunapenda kutoa pongezi na shukrani zetu za dhati kwa RaisWadau wa sekta binafsi kwa pamoja tunapenda kutoa pongezi na shukrani zetu za dhati kwa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Uongozi mzima wa Serikali yaAwamu ya Sita kwa juhudi za kusimamia na kuendeleza sekta ya kilimo nchini.