Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania Bw. Timothy Mmbaga ( aliyeketi kulia) akiwa na Balozi wa Norway hapa Nchini Bibi Elizabeth Jacobsen wakiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi baada ya kutia saini ya Mkataba wa makubalino ya ushirikiano kuhusiana na Programu ya Ubia wa Kilimo Tanzania
Programu hii itakayofadhiliwa na Serikali ya Norway, itatekelezwa kwa Muda wa Miaka 3 kuanzia Oktoba 2020 hadi Septemba 2023,
Chini ya Progamu hii wadau zaidi ya 366,900 kutoka Wilaya 33 wanatarajiwa kunufaika.
Hafla ya utiaji saini Mkataba huo wa Makubalino ilifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ubalozi wa Norway Jiji Dar es Salaam.
Acting Executive Director of the Tanzania Agricultural Council Mr. Timothy Mmbaga (seated right) with Norwegian Ambassador to Tanzania Elizabeth Jacobsen posing for a group photo shortly after the signing of the Memorandum of Understanding on the Tanzania Agricultural Partnership Program
The program, which will be funded by the Norwegian Government, will be implemented for 3 years from October 2020 to September 2023, Under this program more than 366,900 stakeholders from 33 Districts are expected to benefit.
The signing ceremony was held at the Norwegian Embassy in Dar es Salaam.