TAARIFA YA KIKAO NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA)

Kwa Wanachama wa ACT,

 Tunapenda kuwajulisha kwamba, Novemba 8, 2021 ACT itashiriki kikao kilichoitishwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapatao Tanzania (TRA). Kama mwanachama wa ACT, tunaomba ututumie taarifa fupi za changamoto za kikodi na mapendekezo yake.

Kwa taarifa zaidi, soma Kiambatisho Hapa.