"Taarifa Kwa Umma"
Wanachama wote wa Agricultural Council of Tanzania – ACT, wanatangaziwa kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka – 2020, utafanyika tarehe 26 Novemba 2021, Jijini Dar es Salaam.
Angalizo
- Malipo yanaweza kufanywa siku hiyo hiyo ya mkutano, kabla ya kuingia Ukumbini.
- Kulipa ada kutahalalisha mwanachama kushiriki kupiga au kupigiwa kura.
- Wanachama wote wanakumbushwa kulipa ada zao za kila mwaka.
- Angalizo
- Mtajulishwa kuhusu ukumbi wakufanyia mkutano
Thibitisha ushiriki wako mapema