TAARIFA YA MKUTANO MKUU MAALUMWA MWAKA

TAARIFA YA MKUTANO MKUU MAALUMWA MWAKA

Wanachama wote wa Agricultural Council of Tanzania – ACT, wanatangaziwa kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka – 2025, utafanyika Alhamis, tarehe 17 Aprili 2025, Jijini Dar es Salaam. Kuanzia saa 2.30 asubuhi.